Pages

Pages

Saturday, May 18, 2013

Mechi ya Simba na Yanga yavutia wengi, pata picha za maandalizi ya pambano la watani wa jadi

Mmiliki wa Handeni Kwetu Blog, Kambi Mbwana, kushoto akiwa na mwandishi wa Habari kutoka nchini Malawi aliyekuja kuripoti mechi ya Simba na Yanga, Ephraim Mkali Banda, kutoka ZODIAK MEDIA Group na Moses Chagula wa Victoria FM, wakipiga picha ya pamoja, ikiwa ni maandalizi ya pambano hilo la aina yake. Kila la kheri Simba na Yanga.



Kila kona unayopita leo ni mechi ya Simba na Yanga. Wadau hawa walikutwa ofisi za Shirikisho la Soka nchini (TFF), wakiweka mambo sawa kwa ajili ya kuelekea kwenye mechi hiyo ya aina yake. Hawa ni waandishi wa Habari.

No comments:

Post a Comment