Pages

Pages

Friday, May 17, 2013

Habari zilizotufikia hivi punde, muasisi wa Hospitali ya Moyo Tanzania, Dkt Ferdinand Masau afariki Dunia




Dr-Ferdinand-Masau

Dkt Ferdinand-Masau
HABARI zilizotufikia muda huu zinasema kuwa muasisi wa Hospitali ya Moyo Tanzania, Tanzania Heart Institue Dkt Ferdinand Masau amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.

Taarifa hizo zinaendelea kufuatiliwa ili kufahamu chanzo cha msiba huo na taratibu zote mara baada ya kupata habari kamili kutoka kwa vyanzo vyetu vya habari.

No comments:

Post a Comment