Pages

Pages

Wednesday, April 10, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na wabunge mjini Dodoma

IMG_0034
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kulia), Mbunge wa Kilindi Beatrice Shellukindo (Wapili kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Kawawa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment