Pages

Pages

Saturday, February 23, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA WARSHA KUHUSU MIKAKATI YA UTEKELEZAJI DIRA YA MAENDELEO TANZANIA 2025

8E9U2197Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha maalumu itakayojadili mikakati ya kutekeleza ili kufikia Dira ya Maendeleo Tanzania 2025 katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam jana. Warsha hiyo inaongozwa na Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia aliyebobea katika masuala ya Uchumi na Maendeleo.

8E9U2260Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal(Watatu Kushoto),Waziri Mkuu Mizengo Pinda(wane kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Wapili kulia) na,Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu.Wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya ufunguzi wa Warsha Maalumu itakayojadili mikakati ya kutekeleza ili kufanikiwa kufikia Dire ya Maendeleo Tanzania 2025 inayofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo inaongozwa na Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia(wapili kushoto)(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment