Pages

Pages

Monday, February 18, 2013

Matokeo kidato cha nne 2012 yatangazwa


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.

Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni  23520 kuanzia dara la I hadi la II  huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.

Shule bora ni pamoja na St. Francis Girl ya Mbreya, Marian Boys ya Bagamoyo, Feza Boys DSM, Marian Girls Bagamoyo, na Simini ndizo zipo tano bora huku shule nyingine ni Kanosa, Jude, St. Mary.

Kupata matokeo ya kidato cha nne tembelea kwenye mtandao wa NECTA...
 
http:www.necta.go.tz/
Bonyeza chini.
 
 MATOKEO KIDATO CHA NNE 2012 

No comments:

Post a Comment