Pages

Pages

Friday, February 08, 2013

Mashauzi Classic waendelea kufanya vitu kwa kwenda mbele

Mwimbaji wa bendi ya Mashauz Classic, Hashimu Said 'Mzee wa majanga akiimba wakati wa onyesho lao lililofanyika katika bustani ya Magomeni Dar es salaam jana.
Mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Rukia Jumaa kulia akiimba wakati wa onyesho lao lililofanyika katika bushati ya Magomeni Dar es salaam jana kushoto ni Mpiga gita la Solo wa bendi hiyo Jumanne Ulaya.
Mwimbaji wa bendi ya Mashauz Classic, Hashimu Said 'Mzee wa Majanga' akiimba kwa isia wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika katika bustani ya Magomeni Dar es salaam jana nyimbo anayoimba ni tukio la kweli lililomtokea na kumfanya atunge nyimbo inayokwenda kwa jina la 'Mimi Mwanaume Bonge la Bwana' baada ya kuchomewa moto kila kitu cha ndani pamoja na nguo zake zote na mke wake wa ndoa  baada ya kuhitarafiana.
Mwimbaji wa bendi ya Mashauz Classc, Rukia Jumaa akiimba wakati wa onyesho la bendi hiyo.
Mwimbaji wa bendi ya Mashauz Classic, Hashimu Said 'Mzee wa Majanga' akiimba kwa isia wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika katika bustani ya Magomeni Dar es salaam jana nyimbo anayoimba ni tukio la kweli lililomtokea na kumfanya atunge nyimbo inayokwenda kwa jina la 'Mimi Mwanaume Bonge la Bwana' baada ya kuchomewa moto kila kitu cha ndani pamoja na nguo zake zote na mke wake wa ndoa Picha zote kwa hisani ya www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment