Auawa kwa sababu ya kugombea mwanamke mkoani Mbeya
Mwili wa marehemu Daniel Mwasalemba mwenye umri wa miaka 30,
anayedaiwa kuuwa kwa kugombea mwanamke anayejulikana kwa jina la Elizabeth
Michael, ukiwa umelala baada ya kutolewa ndani, mtaa wa Itiji Nonde, mkoani
Mbeya.
Mtu aliyejulikana kwa jina moja
la Peter, akiwa ameshikiliwa akihisiwa kusababisha mauaji ya Daniel, akiwa ni
mwenyeji wa Sumbawanga.
Peter, anayedaiwa kusababisha
kifo cha Daniel, akiokolewa na wana usalama waliowahi kwenye tukio hilo.
Chumba kinachodaiwa kufanyika
mauaji. Picha zote kwa Hisani ya Mbeyayetu.blogspot.com
No comments:
Post a Comment