Pages

Pages

Wednesday, December 05, 2012

Uwanja wa Marafiki


Kambi Mbwana, mwandishi na mmiliki wa blog hii ya www.handenikwetu.blogspot.com
 
www.handenikwetu.blogspot.com, inatoa fursa kwa wewe mfuatiliaji wake kutuma kero, barua, pongezi au neno lolote unalopenda lisomwe na wadau na sisi tutafanya hivyo.

Kwa mfano, unaweza kumuomba msamaha mpenzi wako na ukatuma na picha yako nay a mpenzi wako ukipenda mwenyewe. Hilo litamfanya mpenzi wako aone kuwa unamuhitaji. Mbali na hilo, taarifa za misiba, kumbukumbu pia fursa hii ni yako.

Picha za harusi, kipaimara na nyinginezo ni wakati wako kwa ajili ya kudumisha udugu kati ya mfuatiliaji wa blog hii inayozidi kutembelewa zaidi siku hadi siku. Tuma kwa email hii, kambimbwana@yahoo.com. Au 0712 053949, 0753 806087.

Kumbuka wewe ni muhimu mno. Jiweke juu na uitumie fursa hii. Uwanja wa Marafiki utaandaliwa mara baada ya kupata email zenu au msg zenu kwa namba zetu za simu.

Asante kwa ushirikiano wako muungwana.

 

No comments:

Post a Comment