Pages

Pages

Monday, December 31, 2012

Pikipiki au bajaji? Kumbe Bodaboda..



Matumizi mabaya ya usafiri wa pikipiki yanasababisha ajali nyingi za barabarani, kama alivyokutwa dereva huyu wa bodaboda aliyesheheni mzigo na kushinda chombo chake anachoendesha. Picha hii ilipigwa leo na mtaalamu wetu. Duh? Kweli bodaboda nouma.

No comments:

Post a Comment