Pages

Pages

Tuesday, December 04, 2012

Habari pichani

Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Fadhili Mwasyeba wa pili kushoto akibadilishana hati ya makubaliano ya kulipia king'amui cha Zuku kwa njia ya mtandao na Meneja wa matangao na Masoko wa Kampuni ya SelCom wireless Paypoint, Juma Mgori, makubaliano hayo yamefanyika leo jijini Dar es salaam. Picha na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment