HANDENI KWETU

Pages

▼

Pages

▼

Saturday, April 13, 2013

Dk. Shein ateta na watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

_MG_9531

Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika
Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,( kushoto) Makamo
wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,[Picha na Ramadhan

Othman,Ikulu.]_MG_9536Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbaliya bali katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika ukumbiwa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha utekelezaji wa Kazza Wizara hiyo, kilichofanyika jana chini mwenyekiti Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha naRamadhan Othman,I kulu. 
Kambi Mbwana SAA 12:54 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

KUHUSU MIMI

My photo
Kambi Mbwana
View my complete profile
Powered by Blogger.