IMG_0219
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma leo kwa ajili ya kuongoza kikao cha kamati Kuu ya CCM na Baraza la Mawaziri. Picha na Ofisi ya waziri Mkuu.
IMG_0235
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu,  Mizengo  Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma leo kwa ajili ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM na Baraza  la Mawaziri . Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.